Baada ya kumalizika kwa michezo miwili ya klabu bingwa usiku huu haya ndio matokeo ya jumla.
Tukishuhudia bingwa mtetezi Liverpool akitupwa nje kwa idadi ya magoli 2-3 (2-4) kwa ushindi wa jumla(on aggregate).
Pia PSG akifanya come back ya maana kwa kumfungashia vilago vyake Dortmund.
Post Comment
No comments