Golikipa wa Atletico Madrid Jan Oblak ameibuka nyota wa mchezo (man of the match) katika mchezo uliomalizika hivi punde wa klabu bingwa ulaya raundi ya 16 bora dhidi ya Liverpool huku akiisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 3-2 na kutinga hatua inayofuata.
Post Comment
No comments