Breaking News

Messi mshindi ballon d'or

Leo Messi atangazwa kuwa mshindi wa ballon d'or na hivyo basi amefikisha idadi ya ballon d'or 6 akimzidi mpinzani wake wa karibu tuzo moja Christian Ronaldo ambaye ana ballon d'or 5

No comments