Klabu ya Arsenal imetangaza kwamba imemfukuza kazi kocha Unai Emery na pamoja na jopo lake la benchi la Ufundi. Mchezaji wa zamani wa Arsenal Freddie Ljungberg amechukua nafasi ya Emery kwa muda kuinoa klabu hiyo.
No comments