Breaking News

Messi ndiye mchezaji aliyezifunga timu nyingi UEFA

Baada ya kufikisha mchezo wake wa 700 Lionel Messi sasa ndiye mchezaji pekee aliyezifunga timu nyingi zaidi katika historia ya michuano ya klabu bingwa Ulaya. Amezifunga timu 34.

Cristiano Ronaldo (33) na Raul Gonzalez (33) wanashika nafasi ya tatu.

No comments