Breaking News

Mister freekick, Messi aifikia rekodi ya Ronaldo ya hatrick akiwa na klabu moja

Messi azidi kuwa moto wa kuotea mbali baada ya hapo jana kutupia kamba tatu yaani hattrick na kufikisha hattrick 34 akiwa na Barcelona sawa na Ronaldo aiyekafungia akiwa Real Madrid.

FT: Barcelona 4 - 1 Celta de Vigo

No comments