Breaking News

Maisha popote baada ya kukutana Tanzania sasa hivi wakutana Guinea

Wachezaji waliowahi kucheza ligi kuu ya Tanzania, Heritier Makambo(Yanga),Enock Atta( Azam),Asante kwasi (Lipuli,Simba) na Tafadzwa Kutinyu(Azam),sasa wote wanacheza ligi kuu ya Guinea wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments