Benzema awa mfungaji bora wa mda wote wa Madrid
Karim Benzema amempita Ferenc Puskas, anakuwa mfungaji bora wa sita wa Real Madrid kwenye historia ya La Liga.
Mara baada ya mchezo wa leo kutamatika kati ya Eibar Vs Real Madrid na Karimu Benzema kufanikiwa kuweka kambani magoli 2 ameweza kuifikia rekodi hiyo.
Ft Eibar 0 Vs Real Madrid 4
Benzema ⚽⚽p
Ramos ⚽p
Valvede ⚽
Wafungaji bora wa Real Madrid katika LaLiga:
🇵🇹 Cristiano Ronaldo (311)
🇪🇸 Raul (228)
🇦🇷 Alfredo Di Stéfano (216)
🇪🇸 Santillana (186)
🇲🇽 Hugo Sánchez (164)
🇫🇷 Karim Benzema (157)

No comments