Breaking News

Haaland azidi kua Moto wa kuotea mbali

Mshambuliaji wa Red Bull Salzburg Erling Haaland amekuwa kinda wa kwanza katika historia ya European Cup/UEFA Champions League kufunga goli katika mechi 5 mfululizo.

Erling Braut HÃ¥land msimu huu klabu bingwa

3X ⚽️⚽️⚽️ vs Genk 
1X ⚽️ vs Liverpool
2X ⚽️⚽️ vs Napoli
1X ⚽️ vs Napoli 
1X ⚽️ vs Genk


No comments