Lukaku afikisha goli la 250 akiwa na miaka 26
Romelu Lukaku amefikisha magoli 250 katika Usakataji wake wa soka ndani ya mashindano yote (Klabu na Nchi Yake).
Hii ni orodha ya baadhi ya nyota waliofunga mabao mengi katika umri wa miaka 26
⚽ Thierry Henry - 210
⚽ Michael Owen - 217
⚽ Luis Suarez - 223
⚽ Harry Kane* - 224
⚽ Wayne Rooney - 227
⚽ Robert Lewandowski - 231
⚽ Romelu Lukaku* - 250
No comments