Breaking News

Sancho aweka rekodi ya kua Mwingereza wa nne kufunga bao Camp Nou

Jadon Sancho anakuwa mchezaji wa nne raia wa Uingereza kufunga goli kwenye dimba la Camp Nou dhidi ya Barcelona kwenye Ligi ya mabingwa baada ya Andy Cole, Steve McManaman na Frank Lampard kuwahi kufanya hivyo huko nyuma.

No comments