United mtegoni dhidi ya Newcastle United
Leo tena Ole Gunna Solskjael mtegoni dhidi ya Newcastle, je ataweza kuibuka na ushindi?, pia ikumbukwe yuke ugenini na ataendelea kuikosa huduma ya Pual Pogba, Aaron Wan-Bissaka na Antonio Martial ambao afya zao bado hazijaimalika sawasawa.
Newcastle wao watamkosa beki Isaac Hayden kutokana na kadi nyekundu, lakini Steve Bruce atapata ahuenj kwa kurejea Dwight Gayle (calf), wing-back Jetro Willems (knee) na kiungo Jonjo Shelvey aliyekuwa na hamstring).
Takwimu: •Newcastle United wameshinda mechi zao 3 kati ya 31 zilizopita za Premier League dhidi ya Manchester United (W3 D7 L21), msimu uliopita walifungwa mechi zote. .
• Manchester United wameshinda mechi 13 za ugenini dhidi ya Newcastle - sehemu pekee waliyoshinda mechi nyingi zaidi ya St James Park ni kwenye dimba la Aston Villa (15) na Everton (16).

Post Comment
No comments