Njia ya ubingwa kuonekana leo Seria A
Inter Milan wanawakaribisha Juventus usiku wa Jumapili katika mchezo ambao tayari umeshaanza kupewa ukubwa wa kuwa mchezo wa uamuzi wa bingwa wa Serie A 2019-20.
Wenyeji Inter, wamekuwa bora chini ya Antonio Conte, wakiuanza msimu vizuri kwa kushinda mechi 6 kati ya 6 za mwanzo wa msimu wa Serie A - lakini mabingwa watetezi Juventus bado nao hawajaonja uchungu wa kufungwa chini ya Maurizio Sarri msimu huu.
Mtanange huu uliopewa jina la 'Derby d'Italia', ni mchezo ambao safari hii umenogeshwa zaidi na makocha ambao wote wametoka kufanya kazi katika klabu ya Chelsea. Makocha wenye mbinu tofauti za ufundishaji - SarriBall vs Conte-Ball.
TeamNews: The Nerazzurri wataikosa huduma ya Alexis Sanchez kutokana na kusimamishwa kwa kupata kadi nyekundu vs Sampdoria wikiendi iliyopita. Romelu Lukaku baada ya kuikosa Barcelona kutokana majeruhi ya misuli, leo atarejea kikosini.
Antonio Conte hatarajiwi kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi ambacho kilichocheza vs Barcelona. Nahodha Samir Handanovic ataanza golini, wakati ulinzi utakuwa chini ya Diego Godin, Stefan de Vrij na Milan Skriniar
Kikosi kinachoweza kuanza Inter (3-5-2): Handanovic; Godin, de Vrij, Skriniar; D’Ambrosio, Barella, Brozovic, Sensi, Asamoah; Martinez, Lukaku
Kikosi kinachoweza kuanza Juventus: (4-1-2-1-2):
Szczesny; Cuadrado, Bonucci, de Ligt, Sandro; Pjanic; Rabiot, Matuidi; Ramsey; Higuain, Ronaldo
Takwimu:
•Inter Milan wameibuka na ushindi mara 1 katika mara 13 za mechi za Serie A zilizopita vs Juventus - wakifungwa 7 na sare zikiishs 5. .
•Juventus wameshinda mechi nyingi zaidi za Serie A dhidi ya Inter Milan kuliko dhidi ya timu nyingine yoyote - wakishinda mechi 82 kati ya 172 walizokutana. (D44 L46).
•Inter nao wameshinda mechi nyingi zaidi katika Serie A katika uwanja wa nyumbani vs Juventus kuliko timu nyingine yoyote ndani ya Guissepe De Meaza - wameshinda mechi 35 kati aya 86 na kufunga magoli 134 dhidi ya Kibibi Kizee cha Turin.

No comments