Breaking News

Spurs anafeli wapi??

Brighton wanaongoza goli mbili ikiwa ni half time huku Spurs akisubiri kipindi cha pili kuja kurekebisha makosa yao, ikiwa watashinda Pochettino atakua kwenye wakati mgumu kwani toka msimu huu uanze amekua na wakati mgumu kufuatia matokeo mabovu anayopata siku za karibuni.

Halftime.
Brighton 2 Spurs 0

No comments