Breaking News

Tanzania mabingwa wa CECAFA U20

Ngorongoro imewaduwaza majirani zao wa Kenya kwenye mechi ya fainali kwa kushinda bao 1-0, lakini furaha zaidi ikienda kwa Kelvin kwa kumaliza michuano hiyo akiwa Mfungaji Bora kwa mabao yake saba

No comments