Breaking News

Ni Liverpool au Leicester leo Anfield

The big match today

Premier League

Liverpool vs Leicester City
Anfield
11:00 jioni

Liverpool wanaongoza ligi kwa ushindi wa asilimia 100% hawajapoteza mchezo katika mechi 7 walizocheza msimu huu lakini wanatambua ugumu wa kocha wao wa zamani Brendan Rodgers ambaye tangu alipoajiriwa na Leicester City amekuwa akifanya vizuri.

Liverpool bado wanakumbukumbu ya hofu waliyojazwa na Salzburg katika mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya ambapo waliruhusu wavu wao kutikiswa mara tatu kabla ya Mo Salah kufunga goli la ushindi.

No comments