La liga ndio ligi ambayo Ronaldo amefunga magoli mengi zaidi

Takwimu za mashindano ambayo Cristiano Ronaldo amefunga magoli yake 700.


La Liga ndio mashindano ambayo amefunga nusu ya magoli yake, Champions League inafuatia kisha Premier League na mashindano ya kufuzu kucheza World Cup.

No comments