Breaking News

Werner kumaliza msimu wa Bundersliga na goli 94

Timo Werner baada ya kutupia kambani kamba mbili hii leo imemfanya afikishe goli 94 na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa RB Leipzig.

No comments