Matic kitanzini United

klabu ya Manchester United imemuongezea mkataba kiungo wake Nemanja Matic mwenye umri wa miaka 31.

Matic amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu ambao utamfanya asalie klabuni hapo hadi mwaka 2023.

No comments