Kahata pamoja na Mkwasa waibuka washindi wa tuzo za mwezi December VPL


Tuzo za VPL

Kocha wa klabu ya Yanga SC Charles Boniphace Mkwasa ameibuka kuwa kocha bora wa mwezi Desemba 2019 wa Ligi kuu ya Tanzania Bara akiwapiku kocha wa klabu ya Coastal Union Juma Mgunda na kocha wa Simba SC Sven Vandenbroeck

Wakati huo huo kiungo wa kimataifca wa Kenya na klabu ya Simba SC Francis Kahata ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Desemba 2019 wa Ligi kuu ya Tanzania Bara akiwapiku kiungo wa Simba Hassan Dilunga na beki wa Coastal Bakari Nondo.

No comments