Klabu ya Manchester United imeripotiwa kuongoza katika mbio za kuinasa saini ya Mchezaji wa Bayer Leverkusen mwenye umri wa miaka 20, Kai Havertz.
No comments