Breaking News

Sancho aweka HAT - TRICK yake kwanza

Winga wa kimataifa wa Uingereza na klabu ya Dortmund Jadon Sancho ameweza kufunga mabao matatu (hat -trick) kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka la ushindani hapo jana dhidi ya Paderborn 07, huku Dortmund ikiibuka na ushindi wa goli 6 - 1.

No comments