Breaking News

Ighalo na United mpaka 2021

Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo ataendelea kusalia katika klabu ya Manchester United baada ya United kufanikisha kurefusha mkataba wake wa mkopo mpaka Januari 31, 2021.


No comments