Inter waitaka saini ya Achraf Hakimi
Inter Milan wapo kwenye mazungumzo ya kina na Real Madrid kuhusu kupata saini ya beki, Achraf Hakimi ambaye kwa sasa yupo kwa mkopo Dortmund.
Mchezaji mwenyewe ameripotiwa kukubali kusikiliza ofa yao ( Fabrizio Romano ).
Na kwa mujibu wa Gianluca Di Marzio , mkataba wa miaka mitano pamoja na mshahara wa Euro Milioni 5 kwa msimu pamoja na Bonasi.
No comments