Breaking News

Bayern bingwa wa Bundersliga

Bayern Munich ndiye bingwa wa Bundersliga msimu wa 2019/2020, huku Lewandoski akiibuka kuwa mfungaji bora wa ligi akifanikiwa kufunga magoli 34 na assist 4 katika michezo 31.

No comments