Lacazette anatoka, Lemar anaingia
LONDON ENGLAND. Dili sio dili? Arsenal wameripotiwa wanaweza kumruhusu Alexandre Lacazette kwenda Atletico Madrid huku Thomas Lemar akitua Emirates.
Baada ya janga la corona kusababisha matatizo makubwa ya kiuchumi kwa klabu jambo ambalo limeathiri soko la wachezaji wakati dirisha la uhamisho litakapofunguliwa hivi karibuni.
Kutokana na hilo dili nyingi za timu katika maandalizi ya msimu mpya wa 2020-21 zinaweza kuwa za kubadilishana wachezaji baada ya pesa kuwa magumu.
Post Comment
No comments