David Luiz aitosa Arsenal
London,England. Wakati mkataba wake na Arsenal ukibakiza mwaka mmoja, beki Mbrazil David Luiz (33) amefichua kuwa hana nia ya kustaafia soka klabuni hapo.
Badala yake Luiz amedai kuwa angependa amalizie soka la ushindani akiwa anachezea klabu yake ya moyoni Benfica ya Ureno ambayo ndio ilichangia kwa kiasi kumfanya awe staa mkubwa hivi sasa.
Post Comment
No comments