VPL itapigwa Uhuru, Taifa na Chamanzi
MAMBO bado magumu na hakuna kilichoeleweka mpaka sasa. Baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, kutangaza kuwa mechi za Ligi Kuu Bara zitachezwa kwenye kituo cha Dar es Salaam, umeonekana kupata upinzani kutoka kwa wadau.
Serikali ilitangaza kurejesha Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza na la Pili kwa utaratibu mpya wa kuchezwa kwenye vituo tofauti na ule wa zamani, wa ugenini na nyumbani. Kwa Ligi Kuu imepangwa mechi zilizosalia zitapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Taifa na Chamazi
No comments