Lukaku azidi kung'aa na InterMilan

Klabu ya Intermilan imeilaza Napoli goli tatu kwa moja huku mshambuliaji wa Intermilan, Romero Lukaku akitupia goli 2, goli lingine la inter likiwekwa kimiani na Rautaro Martinez.

No comments