Arsenal yatinga hatua inayofuata FA Cup

Arsenal yafanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Emirates FA Cup baada ya kuindosha Leeds United kwa bao moja, bao lililofungwa na kinda Riss Nelson.

No comments