Arsenal yatua kwa Ziyech

Arsenal yajipanga kuipata saini ya mchezaji wa Ajax Amsterdam ya Uholanzi, Hakim Ziyech.

Ziyech raia wa Morroco na mchezaji wa Ajax ana thamani ya €50M.

No comments