Yanga yashindwa kufurukuta mbele ya Mkuti Marketing
Mechi ya kirafiki iliyochezwa wilayani masasi imetamatatika kwa mwenyeji Mkuti Marketing kuibuka na ushindi was goli 1 - 0 dhidi ya Yanga, goli pekee la mchezo huu liliwekwa kimiani na Hassan Mtepeto
Yanga amecheza na kupokekea kipigo hicho hii ikiwa ni muendelezo wa mechi za kirafiki baada ya kupisha kalenda ya FIFA.
Yanga amecheza na kupokekea kipigo hicho hii ikiwa ni muendelezo wa mechi za kirafiki baada ya kupisha kalenda ya FIFA.
No comments