Klabu ya Genk ya nchini Ubeligiji anayochezea mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Ali Samatta imemfuta kazi kocha wake Felice Mazzu kufuatiwa kua na muendelezo wa matokeo mabaya wanayoyapata katika ligi kuu na hata pia klabu bingwa.
Genk yamfukuza kazi kocha wake
Reviewed by SkyBoy - NMG
on
November 12, 2019
Rating: 5
No comments