Breaking News

TFF watoa ufafanuzi kuhusu Mkude kutokuwepo kambini

Afisa habari wa TFF atoa tamko juu ya swala linalomhusu kiungo wa Simba na Taifa Stars Jonas Mkude kutokuwepo kwenye kambi ya Stars inayojiandaa na mchezo wa Equatorial Guinea.

No comments