Breaking News

Malinzi kitanzini miaka 10 kutojihusisha na soka

Shirikisho la soka Duniani FIFA limemfungia miaka 10 kutojihusisha na soka, Jamal Malinzi.

Hii ni mara baada ya FIFA kumkuta na hatia ya kutumia fedha vibaya na kughushi nyaraka za ofisi. Malinzi ametozwa faini ya Bil 1.1

No comments