Breaking News

Twenzetu tena AFCON 2021

Hii ndio official hashtag (Kauli mbiu rasmi kabisa), kwa kila Mtanzania kuitumia katika mechi za makundi ya kufuzu AFCON 2021 
Tunaanza sasa kuelekea mchezo wa kwanza wa nyumbani dhidi ya Equatorial Guinea, NOVEMBA 15, 2019.. Keshokutwa tu hapoooo... Ni lazima turudi AFCON. Hatutakiwi kusubiri miaka 39 tena eti ndio tufuzu. Hii ni TANZANIA MPYA BWANAA ni moto Hakuna mtu kubaki nyuma. Mshike mkono mwenzako, simama nae imara, kisha mwambie, #TWENZETUTENA

No comments