Breaking News

Samatta aahidi kuongeza kiwango zaidi kwenye timu ya Taifa

Kutoka kwa El Capitano, ukurasa wake wa Twitter : amesikia na kusoma kutoka kwa mashabiki wake pendwa wa soka nchini Tanzania wanaopenda mazuri kwake na Taifa kwa ujumla,  asema ataboresha zaidi .!

No comments