"Nilikuja, nikaona, nikateka. Ahsante sana La Galaxy kwa kunifanya nijione mzima tena. Kwa mashabiki wa Galaxy mlimtaka Zlatan, nikawapa Zlatan, mnakaribishwa. Stori inaendelea .. rudini mkaangalie baseball". Zlatan Ibrahimovic.
No comments