McTominay kapewa goli dhidi ya Brighton
Scott McTominay afikisha bao 3 za EPL msimu huu, hi imekuja baada ya Man United kukata rufaa kupinga maamuzi ya kupewa goli Propper.
Bao la pili la Manchester United dhidi ya Brighon & Hove Albion jumapili ambapo Manchester United waliibuka na ushindi wa 3 - 1 iliyopita amepewa McTominay.
Katika mechi hiyo dakika ya 19 mchezaji wa Brighton alionekana amejifunga na bao kupewa Davy Propper.

No comments