Chelsea inapiga tu bila kuangalia!!
The blues wanashinda mechi ya 6 mfululizo katika premier league kwa mara ya kwanza tangu waliposhinda mechi 6 za mwisho za msimu ambao walishinda ubingwa wa mwisho wa Premier League.
Huku pia Tammy Abraham akiendeleza ubabe wake wa kuzifumania nyavu baada ya kufunga leo na kutimiza goli 10 katika michezo 12 ya Premier League.
Huku pia Tammy Abraham akiendeleza ubabe wake wa kuzifumania nyavu baada ya kufunga leo na kutimiza goli 10 katika michezo 12 ya Premier League.
No comments