Breaking News

Kocha Simba ajibu swali kwanini kila siku anapanga kikosi kipya

Aussems "Napanga kikosi kutokana na ubora wa mchezaji mazoezini, tumepoteza mchezo tuna nafasi nyingine ya kujipanga, Mzamiru hakucheza kwa sababu Jonas Mkude amerudi na tulimbadilisha kwa sababu amecheza mechi zote hizo tano," alisema.
.
Kocha Aussems ametoa siku 2 za mapumziko kwa wachezaji wake, ambapo watarejea Jumatatu, Novemba 11 tayari kujiandaa na mchezo unaofuata wa ligi utakaopigwa Novemba 24, baada ya mapumziko kupisha michezo ya kalenda ya FIFA.

No comments