Dar es Salaam. Mshambuliaji, Ditram Nchimbi ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Ligi Kuu kufunga hat trick msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania.
Nchimbi amefunga mabao hayo Leo Alhamisi wakati timu yake ya Polisi Tanzania ikilizimisha sare 3-3 dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
No comments