Breaking News

Kikosi cha Taifa Stars kitakachojipima na Rwanda

Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars, Ettiene Ndairagije ataja kikosi cha wachezaji 28 wa timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda October 14, 2019 Kigali Rwanda.

No comments