Breaking News

Tanzania U20 sasa hao!! fainali

Tanzania U20 yafanikiwa kutinga fainali ya CECAFA U20 nchini Uganda dhidi ya Sudani kwa idadi ya magoli 2 kwa 1. Magoli ya Tanzania yakifungwa na Patrick Mwenda na Kelvin John "Mbape".

No comments