KMC waja na ramani ya uwanja wao
Hii ni ramani Ya Uwanja Wa Kino boys utakao Jengwa maeneo Ya Mwenge iliyotolewa na KMC FC "kino boys"
.
"Uwanja utakuwa wenye hadhi ya juu. Pia tuna mpango wa kujenga kituo cha soka kwa vijana wadogo ili kuwaandaa wawe wanasoka bora ambacho kitakusanya watoto wenye vipaji kutoka shuleni na pia kwa wale wazazi ambao wanaamini watoto wao wana vipaji vya soka wataweza pia kuwaleta kwa kulipia," alisema Meya wa Halimashauri ya Manispaa Ya Kinondoni "Benjamin Sitta".
.
Taarifa kutoka ndani ya kmc zinasema kuwa uwanja huo utaingiza takribani wati elfu 3,000.

No comments