Baada ya kushuhudia michezo mbalimbali katika ligi 5 bora ulaya na kufanikiwa kuviona vilabu vikubwa na bora vikiambulia vipigo baada ya mizunguko kadhaa kukamilika katika ligi zao ila Juventus pekee ndiyo klabu pekee ambayo haijaambulia kipigo mpaka sasa hivi.
Post Comment
No comments