Xhaka aomba msamaha kwa klabu yake ya Arsenal

Baada ya sintofahamu kutokea kwa kitendo cha nahodha wa Arsenal Granit Xhaka kuwatukana Arsenal kwenye mchezo dhidi ya Crystal Palace, Granit akubali yaishe na kuomba msamaha kwa viongozi, wachezaji na mashabiki wa Arsenal.

No comments