Breaking News

Tanzania U20 wahitimisha ratiba kwa kipigo cha nguvu

Tanzania bara walishuka tena uwanjani kukamilisha ratiba dhidi ya Zanzibar na kuwashushia kipigo kizito cha mabao 5 kwa 0, Kelvin John maarufu kama Mbape akiweka kambani mabao matatu (3) yaani hattrick mabao mengine yakifungwa na Lusajo Mwaikenda na Novatus Dominic, ushindi huo umewafanya wasonge mbele hatua inayofuata.

No comments