Breaking News

Maneno ya Aussems baada ya ushindi dhidi ya kagera

Kocha mkuu wa Simba Sc Patrick Aussems asema kwamba katika mpira ukweli uko uwanjani na sio nje ya uwanja au kabla ya mchezo husika pia akimaliza kwa kusema kua vijana wake wamefanya kazi nzuri.

No comments