Breaking News

Tanzania kukipiga na Uganda

BAADA  ya jana Alhamis kuifunga Zanzibar bao 5-0, kwenye michuano ya 'Cecafa Under 20 Challenge Cup' inayoendelea nchini Uganda na kufuzu hatua ya robo fainali Ngorongoro Heroes sasa watakutana na wenyeji  Uganda.

No comments